Nyumba inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam


Kimara, Dar Es Salaam
2 hours ago
Sh. 130,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
Master mpyaa zipo 2 tuu zinapangishwa
Kod 130000 x6 wahi
Miter ya maji inajitegemea umeme wa2
Nyumba ipo kimara mwisho km1.2 tuu
Usafili tax boda daladala uhakika muda wote
Dalali mzoefu mwezi mmoja ulipiapo nyumba sevchage 20,000 kuona nyumba
Mawasiliano
WSP















