Tafuta

Nyumba inapangishwa Msamala, Ruvuma

video thumbnail
Msamala, Ruvuma
2 months ago
Sh. 200,000/month

Huduma na Sifa

Umeme
Luku Inajitegemea
Mita ya Maji Inajitegemea
Uzio
Modern Kitchen
Large Living Room

Maelezo

🏡 DALALI SONGEA – NYUMBA MPYA MSAMALA
Nyumba mpya kabisa ipo tayari kwa kuhamia, ipo maeneo ya Msamala yenye mazingira mazuri na utulivu wa hali ya juu.
✨ Sifa za nyumba:
Master bedroom
Sebule kubwa
Jiko la kisasa
Ndani ya fence
Umeme na maji vinajitegemea
đź’° Kodi: 200,000
📍 Eneo tulivu, salama na linafikika kirahisi
📞 Wahi sasa! Piga simu: 0797754511

Matangazo yanayofanana Msamala, Ruvuma