Nyumba inapangishwa Nzuguni, Dodoma

Nzuguni, Dodoma, Dodoma
6 days ago
Sh. 300,000 per month
Aina
Nyumba
Huduma na Sifa
Umeme
Luku Inajitegemea
Maji
Uzio
Fence ya Umeme
Karibu na Barabara ya Lami
Maelezo
MASTER SEBULE NA JIKO LAKE KALI SANA FUL A/c
MAHALI - NZUGUNI
MALIPO - 300k
Muundo
-Nyumba ipo jirani sana na usafiri
-Full Fance..
-Sebule kubwa..
-Master room kubwa sana..
-Jiko kubwa &
-Nyumba ni Usalama
Huduma
-Maji yanatoka mda wote🚰
-Umeme unajitegemea🔋
-Electrical Fance
-Barabara inafikika🛣️
☎️Contact Whtsap + Calls full time - 0685700555
________________
__________
