Nyumba inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam

Maelezo
Master kali sanaaaa kubwa
@
Inapangishwa
@
Bei 200.000 kwa mwez
@
Mahali sinza
@
Malipo miez 6 Na dalali 7
@
Pazur
@
Karibu Sanaa OFISIN kwetu sinza LEGO
@
Garama ya kupelekwa ni sh 30000
@
Kwa mawasiliano ya Sm 0756999550
@
Namba ya wasp 0659848687















