Nyumba inapangishwa Soko Jipya, Manzese, Dar Es Salaam

Aina
Nyumba
Huduma na Sifa
Maelezo
🏠 DALALI SONGEA
Nakuletea nyumba nzuri ya kisasa:
✔️ Master bedroom kubwa
✔️ Sebule
✔️ Jiko
📍 Ipo Soko Jipya, Manzese – Mjini kati
✨ Ndani kuna kabati la nguo na pia ipo ndani ya fensi
💰 Bei: Tsh 200,000 kwa mwezi
📞 Wahi sasa! Piga simu au WhatsApp: 0797754511
#songea
#songea















