Tafuta

Nyumba inauzwa Kigamboni Mjimwema, Dar Es Salaam (960 sqm)

video thumbnail
Sh. 240,000,000

Huduma na Sifa

Karibu na Barabara ya Lami
Has Tenants
Government Village Document
Unfinished Interior

Maelezo

Nyumba Nzuri Sana Inauzwa
Mahali: Kigamboni Mjimwema

Bei: Milioni 240 (Mazungumzo)

☑️Unatembea Tu Kutoka Lami
☑️Ukubwa: Sqm960
☑️Sifa:inawapangaji ndani na kodi ni 800k kwa mwezi
☑️Docs Serikali Ya Mtaa
☑️Unamalizia Finishing Unahamia Au Kupangisha
☑️Majirani Wamenyoosha Sana🔥🙌🏻
☑️Panafaa Kwa Uwekezaji Wowote: Kupangisha, Nyumba Ya Kuishi, Nk

Matangazo mengine Kigamboni, Dar Es Salaam