Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Africana, Dar Es Salaam
Mbezi Beach Africana, Dar Es Salaam
23 hours ago
Sh. 250,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
Nyumba hii ni
Chumba sebule choo jiko
Luku yako pekeyako
Maji mita yako pekeyako kwenye fensi zipo nyumba tatu mbalimbali
Mwenye nyumba hakai hapo
Kodi sh laki 250 //š
Ilipo njia ya mbezi bechi kituo ni afrcana š
Nyumba ya kwanza kwenye lami ya mtaa
#











