Tafuta
-
-

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Image Dodoma

video thumbnail
Dodoma, Dodoma
8 hours ago
Sh. 300,000 per month

Aina

Nyumba

Vyumba

1

Huduma na Sifa

Umeme
Luku Inajitegemea
Makabati ya Jiko
Self Contained
Large Living Room
Nice Kitchen

Maelezo

🏠 CHUMBA MASTER, SEBULE NA JIKO VINAPANGISHWA – IMAGE DODOMA 🏠

Unatafuta makazi yenye ulivu na uhuru? Nyumba hii inapatikana eneo la Image Dodoma ikiwa na huduma zifuatazo:

✨ Chumba Master (self-contained)
✨ Sebule kubwa na ya kisasa
✨ Jiko zuri na lenye makabati
✨ Umeme wa kujitegemea
✨ Maji Muda

💰 Kodi 300,000/=

📍 Eneo ni tulivu na linafikika kwa urahisi

☎️ Mawasiliano
— 0787037986 Au 0655037986

Usikose nafasi hii! Karibu sana 😊