Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni Kisiwani, Dar Es Salaam
Kigamboni, Dar Es Salaam
2 months ago
Sh. 250,000/month
Maelezo
🏡CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO
📍Kigamboni Kisiwani
💰250,000 Kwa Mwezi
>Malipo Ya Miezi-Minne
𝐃𝐞𝐭𝐚𝐢𝐥𝐬
🔅Wapangaji Wawili
🔰Ndani Ya Fence
🤝Survey Charge (Gharama za kuona nyumba bila kulipia ni 20,000/= Tu)
⚠️Zingatia Utaratibu
(Call & WhatsApp)
📲+255 759 787 233















