Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni Mikwembe, Dar Es Salaam
Kigamboni, Dar Es Salaam
3 hours ago
Sh. 120,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
Location kigamboni mikwembe
Kodi 120000 kwa mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 20000 kuona nyumba
Chumba kimoja master
Umeme luku yako
Maji dawasa ndani yanafloo
Maji ni bure
Paving block
Garden nzuri
Parking space
Mazingira tulivu sana
Nyumba ipo ndani ya fency
dalali pilipili















