Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Korogwe, Dar Es Salaam









Huduma na Sifa
Maelezo
0679 997610
#Inapangishwa KIMARA KOROGWE, umbali wa dakika 5 tu kwa miguu kutoka mwwndokasi
📍 Kodi 300,000/= *6
📍 Dalali 300,000/=
📍 Kupelekwa kuona 20,000/=
__
____
• Jiko
• Sebule
• Chumba Master
* Fensi
* Maji ndani
* Inajitegemea Umeme na Maji
* Parking
#Inakuwa Wazi kesho kutwa Tarehe 01/07/2026, kuona na kulipia Ruksa.
0679 997610















