Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Korogwe, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
nyumba inapangishwa ipo kimara korogwe barabara ya zege
Master jiko full Ac
inajitegemea umeme na maji yanaflow ndani
ipo ndani ya fensi Mazingira mazuri sana
kodi 200,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
Service charge 20,000
ukipenda nyumba utalipa mwezi mmoja kwa dalali pindi unapolipia nyumba
Call/WhatsApp..0684561351















