Tafuta

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Korogwe, Dar Es Salaam

Sh. 350,000/month

Maelezo

nyumba inapangishwa ipo kimara korogwe barabara ya zege

Chumba master sebule jiko

350,000 x 6

inajitegemea umeme na maji yanaflow ndani

ina Reserve Tank zipo nyumba 6 ndani ya fence

survey charge 30,000 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena ukipenda nyumba utalipa mwezi mmoja kwa dalali pindi unapolipia nyumba

Matangazo mengine Kimara, Dar Es Salaam