Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam









Kimara, Dar Es Salaam
48 minutes ago
Sh. 100,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
Location kimara mwisho km 3 usafiri bajaji na boda
Kodi 100000 kwa mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 20000 kuona nyumba
Chumba kimoja master
Umeme luku
Maji dawasa ndani yanafloo
Paving block
Parking space
Mazingira tulivu sana
Nyumba ipo ndani ya fency
dalali pilipili











