Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam

Aina
Nyumba
Vyumba
1
Barabara ya Karibu
1.8km
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Maelezo
Chumba master kubwa sana
Ndan ya fanc parking kubwa mazingila mazuli
Kod 120000 x6 wahi kimbia
Nyumba ipo kimara mwisho km1.8 usafila bajaji noa daladala boda uhakika muda wote
Dalali mzoefu mwezi mmoja ulipiapo nyumba sevchage 20,000 kuona nyumba
Mawasiliano 0656623510
WSP 0752436347















