Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam









Huduma na Sifa
Maelezo
Chumba master sebule kubwa na jiko
Umeme wa2 kila mmoja ana submeter yake
Kod 200000 x5,6 wahi
Nyumba haipo ndan ya fanc ila mazingila mazuli sana
Nyumba ipo kimara mwisho km1.5 tuu usafili bajaji boda tax daladala
Dalali mzoefu mwezi mmoja ulipiapo nyumba sevchage 20,000 kuona nyumba
Mawasiliano 0656623510
Wsp 0752436347















