Tafuta

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
media -7
media -8
Sh. 250,000/month

Maelezo

INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO KM 3,5
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA KUPELEKWA KUONA NYUMBA ELFU 20
UKIIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA

SIFA YA NYUMBA
==============

hii nyumba NI chumba sebule na choo ndani Chumbani kwako NA jiko ndani zuri Inajitegemea umeme NA maji nyumba hii ipo ndani ya fensi Mazingira mazuri sana mpya bado

KODI YA PANGO
=============

kwa mwezi ni kodiya laki mbili nanusu tuu/=

(250,000)

X 6

###0688617926
###0655256419

Matangazo mengine Kimara, Dar Es Salaam

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Suka, Dar Es Salaam

Sh. 300,000/month

For Rent2 beds2 bathshouse
Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Suka, Dar Es Salaam

Sh. 300,000/month

For Rent2 beds2 bathshouse