Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
Chumba sebule choo jiko
Kod 200000 x6
Fanc na parking ipo
Nyumba ipo kimara mwisho km1 tuu boda 1000
Umeme luku yake maji dawasco
Galama za kupelekwa kuona 15k ukilipia utatoa mwez kwa dalali
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI















