Tafuta

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Suka, Dar Es Salaam

Sh. 170,000/month

Maelezo

CHUMBA MASTER NA JIKO NZURI SANA NA SAFI INAPANGISHWA KIMARA - SUKA

📍 Kimara suka .
🕒 2.5km umbali kutoka stand ya mwendo kasi, usafili bajaji 1000/bodaboda 1500 zipo muda wote.

#SIFA YA CHUMBA

&! Chumba kimoja (Master kubwa yenye feni na jiko) kubwa sana
&! Umeme & Maji (vinajitegemea )
&! Maji yanapatikana
&! Masaa 24 pia yana flow
ndani
&!Ipo ndan ya Fensi
&! Parking kubwa
Yenye nafasi

TAARIFA MUHIMU: Kodi ni Tsh 170,000/= kwa MWEZI, na malipo yanaanzia miezi 6 tu.

GHARAMA
£! Kodi Tsh 170,000/= × (Miezi sita)
£! Malipo ya Dalali Tsh 170,000/=
£! Service Charge Tsh 20,000/=
simu
au

Dalali wa nyumba dar es salaam

dalali_nyumba_za_kisasa_dsm

@dalali_nyumba_za_kisasa_dsm

View Listings

Matangazo mengine Kimara, Dar Es Salaam

Dalali wa nyumba dar es salaam