Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Suka, Dar Es Salaam

Kimara, Ubungo, Dar Es Salaam
6 days ago
Sh. 350,000 per month
Aina
Nyumba
Vyumba
1
Bafu
1
Barabara ya Karibu
600m
Huduma na Sifa
Umeme
Mita ya Maji Inajitegemea
Parking Space
Stand Alone Property
Maelezo
nyumba inapangishwa ipo kimara suka
kutoka lami mpka kwenye nyumba ni mita 600
nyumba ina
Chumba sebule choo jiko
kodi 350 x miezi 6
inajitegemea umeme na maji yako ndan ya fensi paking ipo
survey charge 30,000 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
ukipenda nyumba utalipa mwezi mmoja kwa dalali pindi unapolipia nyumba
O677370515 whatsapp
O688991244 normal call
