Tafuta

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Suka, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
media -7
media -8
Sh. 170,000/month

Maelezo

🇹🇿 CHUMBA MASTER NA JIKO NZURI SANA NA SAFI INAPANGISHWA KIMARA - SUKA

📍 Kimara suka .
🕒 2.5km umbali kutoka stand ya mwendo kasi, usafili bajaji 1000/bodaboda 1500 zipo muda wote.

SIFA YA CHUMBA

Chumba kimoja (Master kubwa yenye feni na jiko) kubwa sana
Umeme & Maji (vinajitegemea )
Maji yanapatikana
Masaa 24 pia yana flow ndani
Ipo ndan ya Fensi
Parking kubwa Yenye nafasi

TAARIFA MUHIMU: Kodi ni Tsh 170,000/= kwa MWEZI, na malipo yanaanzia miezi 6 tu.

GHARAMA
£! Kodi Tsh 170,000/= × (Miezi sita)
£! Malipo ya Dalali Tsh 170,000/=
£! Service Charge Tsh 20,000/=

☎️

#steelbighomes #fyp

Steel bighomes

dalali_kimara_

@dalali_kimara_

View Listings

Matangazo mengine Kimara, Dar Es Salaam

Steel bighomes