Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Temboni, Dar Es Salaam

Aina
Nyumba
Vyumba
1
Barabara ya Karibu
5m
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Maelezo
Master nzuri (130k × 6) KIMARA TEMBONI
Maji yanatoka ndani
Ina sehemu ya kupikia kama unavoona hapo kwenye video
Kimara tembon dakika 5 kwakutembea
Service charge ni shilingi 20,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Piga cm chap tumalize biashara
0654101710
0787205300
#viral #trending #mustwatch #foryou #fypシ❤️💞❤️















