Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Temboni, Dar Es Salaam
Kimara, Dar Es Salaam
1 hour ago
Sh. 250,000/month
Aina
Nyumba
Vyumba
1
Barabara ya Karibu
2km — Morogoro Road
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Maelezo
(250,000 × 3) Chumba Sebule Jiko #KIMARA_TEMBONI
Kwa 250k × 3 unaiachaje kwa mfano
Umeme na maji unajitegemea
Km 2 tu kutoka Morogoro Road
Bajaji na Bodaboda zipo muda wote
Na ukishuka tu kwenye Bajaji Dk 1 Upo ndani
Huduma ya wi-fi ipo 3000 tu kwa mwezi
Service Charge 20,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
Follow us;
@dalali_amani_kimara















