Tafuta

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kinyerezi Shell, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 120,000/month

Maelezo

🏠 MASTER ROOM INAPANGISHWA – KINYEREZI SHELL (ESTHER)

πŸ“ Ipo umbali wa takriban KM 1 kutoka kituoni (au boda dakika chache tu)
πŸ‘₯ Mpangaji ni watatu tu (mazingira tulivu na salama)

✨ Sifa za nyumba:

* Master room kubwa (self-contained)
* Ina jiko lake binafsi 🍳
* Ipo ndani ya fence
* Maji na umeme vinajitegemea
* Mazingira mazuri na ya kisasa (exasa)

πŸš— Gari haliingii kulala ndani

πŸ’° Kodi: Tsh 120,000 kwa mwezi
πŸ“† Malipo: Miezi 3 advance (fixed)

πŸ“ Inafaa kwa bachelor au mtu anayependa utulivu
Service charge 10,000/=.

πŸ“ž Wasiliana: +255 688 412 890

Matangazo yanayofanana Kinyerezi, Dar Es Salaam

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kinyerezi Kwa Ditopile, Dar Es Salaam

Sh. 170,000/month

  • Luku Inajitegemea

  • Maji

  • Public Toilet

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kinyerezi Kwa Ditopile, Dar Es Salaam

Sh. 170,000/month

  • Luku Inajitegemea

  • Maji

  • Public Toilet

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kinyerezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000/month

  • Maji

  • Luku Inajitegemea

  • Mita ya Maji Inajitegemea

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kinyerezi Kifuru, Dar Es Salaam

Sh. 200,000/month

  • Luku Inajitegemea

  • Mita ya Maji Inajitegemea

  • Parking Space