Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Magomeni, Dar Es Salaam

Maelezo
Chumba sebule jiko
@
Inapangishwa
@
Bei 400.000 kwa mwez
@
Mahali magomeni
@
Malipo miez 6 na dalali 7
@
Karibu sanaaa ofisini kwetu sinza LEGO
@
Garama ya kupelekwa ni sh 30000
@
Kwa mawasiliano ya sm 0756999550
@
Namba ya wasp 0659848687















