Tafuta

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Makoko, Mara

Makoko, Mara
8 hours ago
Sh. 120,000/month

Maelezo

šŸ—£ļø INAPANGISHWA (MPYA)

* Chumba master | Sebure
* Bei 120k
* Malipo kwanzia miezi sita
*Kwenye fensi - Parking āŒ
* Nyumba ipo MAKOKO

āš ļø UTARATIBU WA DALALI
* Pesa ya survey 10,000/= ikiwa usafiri juu yako ila kama usafiri juu ya dalali 20,000/= Mpaka 25,000/= kutokana na nyumba mteja atakazotaka kutembelea kati ya list za nyumba tutakazo mtajia

* Malipo ya dalali sawa na ghalama ya pesa ya nyumba kwa mwezi šŸ”Ø

#KABANJA | ā˜Žļø+255715096040