Tafuta

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbagala Mbande Kisewe Stendi, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 120,000/month

Maelezo

Chumba sebule master bedroom kinapangishwa bei 120 kwa mwezi kodi kuanzia miezi 3 nakuendelea. Nyumba IPO mbagala mbande kisewe stendi. Chumba sebule master bedroom kina tiliz madilisha vioo, mafeni juu panga boy, unajitegemea luku yk pamoja na maji pia mita yk na fensi ya parking ipo pia. Umbali wake kutoka kwenye kituo cha daladala hadi kwenye nyumba ni kama mwendo wa dakika 5 ivi kwa kutembea kwa miguu. Kwa mawasiliano zaidi pga namba 0688559385 au pga namba 071925 0426.

Matangazo yanayofanana Mbagala, Dar Es Salaam

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbagala Maduka, Dar Es Salaam

Sh. 150,000/month

  • Luku Inajitegemea

  • Mita ya Maji Inajitegemea

  • Karibu na Stendi ya Mabasi

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbagala Maduka, Dar Es Salaam

Sh. 150,000/month

  • Luku Inajitegemea

  • Mita ya Maji Inajitegemea

  • Jiko

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbagala Mbande Kisewe Stendi, Dar Es Salaam

Sh. 150,000/month

  • Luku Inajitegemea

  • Mita ya Maji Inajitegemea

  • Uzio

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbagala Matitu, Dar Es Salaam

Sh. 1,500,000/month

  • Umeme

  • Mita ya Maji Inajitegemea

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbagala Mbande Kisewe, Ungindoni, Dar Es Salaam

Sh. 150,000/month

  • Tiles

  • Luku Inajitegemea

  • Mita ya Maji Inajitegemea

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa mbagala chamazi, Dar Es Salaam

Sh. 120,000/month

  • Luku Inajitegemea

  • Mita ya Maji Inajitegemea

  • Tiles