Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi Beach Africana, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
š„Chumba master , Sebule na jiko
š„700,000 miezi 3
š„Umeme Maji unajitegemea
š„ Airbnb Ruksa
š„Ndani ya Fence na Parking kubwa
š„Mbezi beach Africana upande wa Chini
š„Service charge 20k















