Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi Beach, Dar Es Salaam

Mbezi, Dar Es Salaam
25 days ago
Sh. 400,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
Chumba master,Sebule na jiko
400,000 miezi 6
Umeme Maji unajitegemea
Ndani ya fence na parking kubwa
Mbezibeach upande wa chini
Service charge 20k















