Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi Beach, Dar Es Salaam


Mbezi, Dar Es Salaam
55 minutes ago
Sh. 27,000,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
Nyumba hii ni
Chumba sebule choo jiko
Luku yako pekeyako maji yapo ndani ya DAWASCO
Kwenye fensi zipo nyumba mbili tuu mbali mbali
Kodi sh laki 270 //๐
Ilipo njia ya mbezi bechi kituo cha makonde
Mazingira utulivu sana sana
Nyumba mpya
#











