Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi Beach Makonde, Dar Es Salaam
Mbezi, Dar Es Salaam
2 months ago
Sh. 400,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
Chumba master,sebule na jiko
400,000 miezi 6
Umeme Maji unajitegemea
Ndani ya fence na parking kubwa
Mbezibeach makonde
Service charge 20k















