Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi Bichi, Dar Es Salaam


Mbezi, Dar Es Salaam
1 hour ago
Sh. 300,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
Nyumba hii ni
Chumba sebule choo jiko tuu
Luku yako pekeyako
Maji mita yako pekeyako
Kodi sh laki 3 //π
Ilipo njia ya mbezi bichi kituo ni afrcana ππ
Nyumba ya kwanza kwenye lami
Mwenye nyumba hakai hapo
Kwenye fensi zipo nyumba tatu mbalimbali
#















