Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi Kwa Msuguli, Dar Es Salaam









Mbezi, Dar Es Salaam
49 minutes ago
Sh. 500,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
Location mbezi kwa msuguli km1
Kodi 500000 kwa mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 20000 kuona nyumba
Chumba kimoja master
Sebule
Kitchen with cabinet
Full A/C ndani
Hita ya maji moto na baridi bafuni
Umeme luku yako
Maji dawasa ndani yanafloo
Paving block
Parking space
Mazingira tulivu sana
Nyumba ipo ndani ya fency
dalali pilipili











