Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Msuguri, Dar Es Salaam









Huduma na Sifa
Maelezo
Chumba mastar Inapangishwa Ipo msuguri kulia kama unaelekea mbezi
Ukishuka kwenye daladala unatembea dk 8 au boda buku
Inatiles gyupsam aluminium
Inajitegemea umeme maji shea
Ipo ndani ya fensi
Kodi 165x6
Kuona nyumba elfu 15000
Pia utamlipa dalali kodi yamwezi hukilipia nyumba
Cal
###0655256419
###0688617926















