Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Tabata Kinyerezi, Dar Es Salaam









Aina
Nyumba
Vyumba
1
Bafu
1
Barabara ya Karibu
5km
Maelezo
Chumba master, sebule na jiko bei 200000 kwa miezi 7 na kwa miezi 6 250000
Umeme na maji unajitegemea, parking kubwa, fence ipo na ulinzi upo kwa mwezi sh 10000
Kutoka kituoni dakika 5 hivi
Calls/whatsapp 0653233641 au 0768682919
Service charge tsh 20000
Au malipo ya dalali















