Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo Riverside, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
Master jiko.....mpya bei yake 220k.....rukusa...kuona na kulipia ila utaingia mwisho wa mwezi tarehe Moja..... location ubungo riverside.....ipo ndani ya fensi gari inalala safi imenyoka sana .....sevc chaji 20k....kwenda kuona ukilipia dalali mwezi mmoja unyokee.....















