Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo Riverside, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
📌Chumba Master
📌Jiko
#Bei 250k nyumba Kali sana master kubwa sana imenyoka sana mpya umeme MAJI INAJITEGEMEA.....nyumba LAMI ....ipo #Ubungo_Riverside....njoo chapu anacha na hii ipo nyoka chapu kwenda kuona sevc chaji 20k... ukilipia dalali mwezi mmoja unyokee
0679 997610















