Tafuta

Nyumba ya vyumba 6 inapangishwa Kibada, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 2,000,000/month

Maelezo

🏡 NYUMBA YA KUPANGISHA KIGAMBONI KIBADA 🏡

Nyumba nzuri yenye mfumo wa ghorofa inapangishwa eneo la Kigamboni Kibada. Ina eneo kubwa na mazingira mazuri ya kuishi.

🔹 Vyumba 6 vyote master
🔹 Sebule kubwa
🔹 Dining room
🔹 Jikoni la kisasa
🔹 full Ac
🔹 Nyumba inajitegemea
🔹 Eneo kubwa la parking na shughuli nyingine

💰 Bei: Milioni 2 kwa mwezi

Karibu sana kwa kuona nyumba hii nzuri na ya kisasa.