Nyumba ya vyumba 6 inapangishwa Mbezi Beach Africana, Dar Es Salaam

Mbezi, Dar Es Salaam
1 hour ago
$ 1,500/month
Huduma na Sifa
Maelezo
π‘ NYUMBA INAPANGISHWA β MBEZI BEACH AFRICANA
Inapangishwa nyumba kubwa inayojitegemea, iliyopo Mbezi Beach Africana (upande wa chini).
β
Ndani ya fence
β
Ina vyumba 6
β
Inafaa kwa makazi ya familia au matumizi ya ofisi
π° Bei: USD 1500$ kwa mwezi
π Kwa mawasiliano:
0658 637 690
Karibu sana kuja kuiona!















