Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Bunju B, Dar Es Salaam


Bunju, Dar Es Salaam
9 hours ago
Sh. 1,000,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
Nyumba Inapangishwa. Inajitegemea, Ipo Bunju B
Ina Vyumba 4 vya kulala, Viwili ni Master, Dining Room, Sitting Room, Kitchen, Public Toilet.
Umeme wa Luku
Dawasa
Bei ni Million 1
Gharama ya kuona
20,000
Wasiliana nami
0718 809 744















