Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
Nyumba inapangishwa ,ipo Bunju(stand alone).Ina vyumba vinne (3 master bedroom).Ina sebule,dinning ,jiko ,store na public toilet
Huduma za maji na umeme zinajitegemea.
Kodi ni tsh.800,000/= ( kwa miezi sita).
Kwa maelezo zaidi piga simu 0687347670















