Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Kigoma Mjini
Kigoma, Kigoma
56 minutes ago
Sh. 800,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
NAPANGISHA NYUMBA YA KISASA MLOLE KIGOMA MJINI
Vyumba vinne vya kulala viwili ni master, sebule ya kisasa, AC, CCTV Camera, ndani ya fence unatumia peke yako.
Kodi ni 800K
Tunapatikana Kigoma mjini Karibu na MARAGARASI HOTEL
#dalalikigoma #dalalimakini #dalaliwanyumba #dalaliwavyumba #dalaliwaviwanja















