Tafuta

Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Kinyerezi Shule, Dar Es Salaam

Sh. 400,000/month

Huduma na Sifa

Maji
Parking Space
Umeme
Mita ya Maji Inajitegemea
Jiko
Modern Kitchen With Cabinets

Maelezo

Stand alone inapangishwa Kinyerezi Shule, takriban kilomita 1 kutoka barabara ya lami (bodaboda elfu moja).
šŸ  Ina:
* Vyumba 4 (2 Master)
* Sebule
* Dining
* Jiko la kisasa lenye makabati
* Jiko la nje
* Maji ya DAWASCO pamoja na kisima
* Parking ya kutosha
* Ipo katika mtaa mzuri na salama

šŸ’° Kodi: TSh 400,000 kwa mwezi
šŸ“Œ Malipo: Miezi 6 mbele
šŸ’µ Gharama ya huduma: Kodi ya mwezi 1
šŸ“ž Muhitaji piga: +255 652 692 028

Matangazo mengine Kinyerezi, Dar Es Salaam

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kinyerezi, Dar Es Salaam

Sh. 400,000/month

For Rent2 beds2 bathshouse