Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Mbezi Beach, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
STAND ALONE
INAPANGISHWA
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-MBEZI BEACH
______________
KODI NI USD $1500 KWA MWEZI
_____________
KUBWA YA KIFAMILIA
_______
YENYE:-
Vyumba Vinne vya kulala #Masta #Sebule #dinning #Jiko zuri lenye #makabati Choo/Bafu vya ndani public
Gypsum Tiles aluminium Windows
Umeme upo wa Luku yake
Maji yapo ya bomba 24hrs
Cars Parking Space ipo kubwa
Nje Pavingblocks Garden
Tunasafirisha mizigo kutoka unakohama kwenda unakohamia, pia tunafanya usafi wa nyumba kwa gharama nafuu.
nipeni_dili_wateja_wangu
Swipe left for more pictures















