Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Ubungo Riverside, Dar Es Salaam

Aina
Nyumba
Vyumba
4
Bafu
2
Barabara ya Karibu
4m
Huduma na Sifa
Maelezo
🏡House For Rent #APARTMENT Zipo 3 Kwenye Fence ~ Zipo Mbali Mbali Location: UBUNGO RIVERSIDE Distance: Dakika 4 Kutoka Stand PRICE: 700,000 × 6 ✍️Sebule Kubwa Sana ✍️Vyumba V4 Vikubwa ✍️Chumba Kimoja Master ✍️Jiko Kubwa Zuri ✍️Public Toilet Inside 🚻 ✍️Full A/c ✍️Umeme Na Maji Meter Yako ✍️Yanaflow Jikoni Na Vyooni 24HRS ✍️Reserve TANKS ✍️Fenced &Parking Yakutosha 🚘 ✍️Uwanja Wa Basket Ball ✍️Garden Nzuri ✍️Good Environment 💥 Kwahiyo Matumizi Ya Ofisi 1,200,000 NB: Mwenye Nyumba Ndiyo ANAHAMA Mwisho Wa Mwezi Huu Ndiyo ANATOKA Unaruhusiwa Kuona Nyumba Na Kulipia RUKSA 👍 Service Charge 20,000 1 Month Agent Commission Normal Calls: 0688 067 289 0714 418 005 WhatsApp














