Tafuta

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Buyuni, Chanika, Dar Es Salaam (610 sqm)

Sh. 72,000,000

Maelezo

NYUMBA YENYE HATI INAUZWA NA BANK,TZS.72 MILIONI, BUYUNI-CHANIKA/ILALA.

Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 610.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.

Hapa ni TALIANI/NSSF.
Wastani wa kilomita 1 tu kutoka Barabara ya Lami.

Vyumba 4 ( 2 Vyoo ndani)
Pia kuna Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.

_________________

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.



________________jj

Matangazo mengine Buyuni, Dar Es Salaam

Nyumba ya vyumba 6 inauzwa Buyuni, Dar Es Salaam (400 sqm)

Sh. 53,000,000

For Sale6 beds400 sqmhouse
Nyumba ya vyumba 6 inauzwa Buyuni, Dar Es Salaam (400 sqm)

Sh. 53,000,000

For Sale6 beds400 sqmhouse
General BROKER (*DALALI*)