Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kimara mwisho, Dar Es Salaam (3000 sqm)

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 390,000,000

Aina

Nyumba

Vyumba

4

Ukubwa

3000 SQM

Barabara ya Karibu

5m

Huduma na Sifa

Hati
Air Conditioning
Tiles
Makabati
Makabati ya Jiko
Feni

Maelezo

✨Nyumba nzuri sana na kubwa inauzwa Ina vyumba vinne (vitatu ni masterbedrooms vina makabati yanguo), sebule kubwa, dinning na jiko lakisasa Lina makabati mazuri sana full Ac & heater

✨Ina boycotta kubwa ya mfanyakazi au wageni

✨Documents: Ina hati miliki

✨Ukubwa sqmt 3,000

✨Location: Kimara mwisho -DSM (Dakika 5 kwa Mguu kutoka lami)

✨Bei million 390 (maongezi yapo kidogo)

0746 433 854