Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kivule, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 50,000

Aina

Nyumba

Vyumba

4

Maelezo

NYUMBA NZURI VYUMBA 4,TSHS.63 MILIONI,KIVULE-SOKONI.

Nyumba kubwa ina vyumba 3 (Masta 1)
Nyumba ndogo ni ya Chumba 1 na,Sebule yake.

Kiwanja SQM.430.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.

Ni jirani na Kituo cha Daladala na nyumba Ina Kisima.

_________________

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.

+255 714 591 548

_________________msk