Tafuta

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Malaika Beach, Dar Es Salaam (1200 sqm)

Sh. 480,000,000

Huduma na Sifa

Hati
Karibu na Bichi
Karibu na Barabara
Kitchen
Dining Room
Sitting Room

Maelezo

🏑πŸ”₯ GHOROFA LA KISASA LINAUZWA– KIGAMBONI, /MALAIKA BEACH πŸ”₯🏑

πŸ’Ž FURSA YA KIPEKEE KARIBU NA BEACH!

Ghorofa la kisasa kabisa linauzwa Kigamboni, eneo la Mikadi/Malaika Beach, sehemu nzuri kwa makazi na uwekezaji wa kitalii. Eneo la Mikadi liko karibu na Kigamboni Ferry na lina ufukwe wa Bahari ya Hindi.

✨ SIFA ZA GHOROFA:
βœ… Vyumba 4, vyote Master
βœ… Sebule
βœ… Dining
βœ… Jiko
βœ… Design ya kisasa kabisa
πŸ“ Ukubwa wa kiwanja: SQM 1,200
πŸ“„ Hati ya Wizara
🌊 Takribani mita 200 kutoka Beach

πŸ“ UMBALI:
πŸš— Mita 200 kutoka barabarani
⛴️ Kilomita 3 kutoka Ferry
πŸŒ‰ Kilomita 4 kutoka Daraja la Nyerere, Kigamboni

πŸ’° BEI: TZS MILIONI 480
🀝 Mazungumzo kidogo yapo.

πŸ”₯ GHOROFA HILI LINAfaa kwa:
🏨 Hotel
🏑 Airbnb
πŸŽ‰ House Party
🏠 Makazi ya familia
πŸ“ˆ Uwekezaji wa muda mrefu

🌴 Eneo la Kigamboni lina fursa nzuri kwa miradi ya makazi na utalii kutokana na ukanda wake wa pwani.

πŸ“ž

dalali_viwanja_adamu

dalali_adamu_viwanja

@dalali_adamu_viwanja

View Listings

Matangazo mengine Malaika Beach, Dar Es Salaam

dalali_viwanja_adamu