Tafuta

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbagala Chamazi, Dar Es Salaam (400 sqm)

Sh. 65,000,000

Huduma na Sifa

Maji
Umeme
Karibu na Barabara ya Lami
Jiko
Stoo
Dining

Maelezo

NYUMBA KALLI SANA INA UZWA BEI NZURI SANA TSH MIL 65 TU
NYUMBA IPO MBAGALA CHAMAZI MAGENGENI JIJI LA DAR ES SALAM WILAYA YA TEMEKE KATA YA CHAMAZI MTAA WA MSUFINI ENEO SQUARE MITER 400
INA DOCUMENTS ZOTE ALALI ZA MAUZIANO YA OFFICE YA SILIKALI YA MTAA 🏬
VYUMBA VIPO VNNE VYA KULALA VYUMBA VIWILI NI MASTERS BEDROOM INA STTING ROOM NA DAINING ROOM INA JIKO NA STORE INA PUBLIC TOILET INA MAJI NA UMEME UPO WA LUKU
KUTOKA BARA BARA KUU YA LAMI KUJA KWENYE HII NYUMBA NI DAKIKA 2 TU
KWA MAELEKEZO ZAIDI NIPIGIE CM AU NICHEKI WHATSAPP 🇹🇿 0759 203175 0652 618 143 🇹🇿

Matangazo mengine Chamazi, Dar Es Salaam